Kielelezo cha Mama Ye! kwa ajili ya Siku ya Wakunga Duniani. Wakunga kwa Uzazi Salama
2013
Mama Ye! imeandaa kielelezo hiki wakati wa kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani. Tanzania inahitaji wakunga zaidi kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote ule. Kielelezo hiki kinahimiza uwekezaji mahususi ili kuwe naongezeko la wakunga kuziba pengo kubwa lililopo nchini Tanzania. Tafadhali pakua nyenzo hii na sambaza ujumbe.Evidence for Action. (2013). MamaYe Infographic for International Day of the Midwife: Tanzania Needs Midwives Now More Than Ever. London: Evidence for Action.

Download
midwife-stats-tanzania-v2_0.jpg395.87 KB
Evidence for Action. (2013). MamaYe Infographic for International Day of the Midwife: Tanzania Needs Midwives Now More Than Ever. London: Evidence for Action.